Swahili : basic course [2d ed.]

Citation preview

.

BASIC COURSE

UNIT 42

B. asubuhi

Ni lázima wachukuzi waje

The porters have to come tomorrow

kesho asubuhi. ḿchana

morning.

Ni lázima wachukuzi waje

The porters have to come tomorrow

kesho ḿchana. usiku

afternoon.

Ni lázima wachukuzi waje

The porters have to come tomorrow

kesho usiku.

night.

C. kichwa

Ni lázima ulipe kodi ya

You have to pay poll tax.

kichwa. nyumba

Ni lázima ulipe kodi ya

You have to pay house rent.

nyumba. shule

Ni lázima ulipe ada ya shule.

You have to pay school fees.

kukaa

Ni lázima mama akae nyumbani.

Mother has to stay home.

kufanya

Ni lázima mama afanye kazi

Mother has to work at home.

D.

kazi

nyumbani.

kwenda

Ni lázima mama aende nyumbani.

Mother has to go home.

kuja

Ni lázima mama aje nyumbani.

Mother has to come home.

3. A. Imperative vs. lázima plus subjunctive. nyama

Toa nyama jikoni.

Remove the meat from the stove.

Ni lázima uitoe sasa. mboga

You have to remove it now.

Toa mboga jikoni.

Remove the vegetables from the stove.

Ni lázima uzitoe sasa. ḿkate

You have to remove them now.

Toa ḿkate jikoni.

Remove the bread from the stove.

155