Historia kuu ya Afrika, juzuu lililofupishwa, v. III: Afrika kuanzia karne ya saba hadi ya kumi na moja; [III]

Table of contents :
YALIYOMO......Page 6

Citation preview

Kamati ya Kisayansi ya Kimataifa ya UNESCO kwa ajili ya Kusawidi Historia Kuu ya Afrika

HISTORIA KUU Y A Ar Kl 1\A*

Juzuu

Lililofupishwa Lililofupishwa

III Afrika kuanzia Karne ya

Saba had i ya Kumi na Moja MHARIRI I. HRBEK

TUKI

CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

UNESCO

.8

Afrika kuantia käme ya Saba hadi ya kumi na moja

ÖUN^^,ravHvs

Mjjilio ya uislamu na ustawi wa himaya ya waislamu

2.1 Uwakilishi wa Maka: mapambo haya ya ukulani yametengenezwa Iznik, yanaonyesha kwa juu mchoro wa Msikiti Mkuu wa Maka na minara yake saba. Katikati ya uga mm anaweza kuona Kaaha - ambayo inasemekana kuwa ilijengwa na Ibrahim - katika pembe liko Jiwe Jeusi ambapo Waislamu hawana budi, kama ikiwezekana, waabudie angalau mará moja katika maisha yao.

Kilajengo dogo - na kila mlango - umepewajina katika halt za Naskhi. Juu ya mchoro sura ya Korani iliyoandikwa kwa mikogo (Sura 3:90-2) inaelezea wajibu wa hija. (Hatimiliki ya picha: Maonyesho ya taifa, Paris).

19

26

Afrika kuanda käme ya Saba hadiya kumi na moja

8-

Maoideleo xa Uislamu na kuenea kwake Barani Afrika

Islamized areas

Direction of further expansion .".;." ','""" Muslim coastal settlements

3.1

s.. .. :

..

The Islamized areas of Africa by c. 1100. (I. Hrbek)

31

.33

Maendeleo ya Vislamu na kuenea kwake Barani Afrika

3.2 Mimbari iüyonakshiwa (katika msorwbari uliochongwa) kuloka m/t&ti wa Kairqyvan (¡laiilimiUd ya piclia: Bernard Nmitet, Paris)

/

Co*- * ' "

. y , >,- ,

:

Maendeleo ya Vislama na kuenea kwake Barani Afrika

Maeneo ya Waislamu Mwelekeo wa ueoeaji zaidi

Makazi ya pwani ya Waislamu

VA* Wakrbt»

3.3 Maeneo ya Waislamu katika Afrika ilipofika k. 1500 (I. Hrbek)

39

62

Afrika kuanzia karne ya Soba hadi ya kumi na moja

.o

s¿

5

'S

-s.

Warn wa Sudan: miguro ya vjctu

69

Ml ai.

73

Wnhímtu na kuenca twtm

, ¿ Chad

Misini ya k'ianí "'a llc«,,,a +++++

Mpaka baiña ya Bantu Magharibi na Mashanki

^ "Mipaka ya Kaskazini nan

*«,.

kusini ya maeneo ya

Wanaozungumza KtbáhTu"

Uele

KASKAZINI:

BeninJ MAGHARLBI WABANTU WA

/

KATI

0

MAGHARIBI \ )

K*+**7

!

«

Viktoria WA BANTU

, W.4 MASHARIKI "001

L

Tanganyika

s-

lamben

Z-

Oíante

BAHARI VA-

HINDI

6.1 ' Ueneqji wa Wabantu (J. Vansina)

'--

Wabanru na kuenea kwao

79

6.2 Ußnyanzi wa Enzi ya Awali (Urewe)

uüogunduliwa katika éneo la Kabuye, Rwanda. (F. Van Noten, 1983; mchoro na Y. Baele)

6.3

Vjenzi upya wa tanuu la

enzi za awali za Chuma katika

Rwanda: Nyaruhengeri I. (C. i van Grunderbeek, E. Roche, II.

( Doulrelepont na P. Craddock. Maonyesho ya Kifalme ya Afrika

^ ya Kali, Tervuren, Vbelgiji)

savana, sawa kabisa na eneo lililokuwa limekaliwa na j'amii ya Wabantu-Mama. Lakini lugha

zilicndelea kukua katika mazingira yenye tofauti kubwa, jambo ambalo lisingewezekana kutokea bila kuingiliwa au angalau kuzuiwa katika miguro ya uhamiaji. Kwa mfano, polepole baadhi ya makundi yaliweza kuyazoea maisha ya mbuga za savana ambazo hazikuwa na maji kama ulivyo uwanda wa

Bateke. Kwa upande mwingine, katika upande wa mashariki kulikuwa na maji mengi zaidi na baadhi ya jumaia zilijizoeza kuishi kwenye sehemu za vinamasi. Lakini lugha nyingi zilizungumzwa na watti ambao walipenda maisha ya msituni, kama wakulima au wavuvi. Baadhi ya lugha nyingiae

zilizuka katika hatua hii ya pili upande wa kusini na kusini magharibi ukingoni mwa msitu na hatimaye katika mkondo wa chini wa mto Kongo katika sehemu mpya za msitu na mbuga za savana.

Hakuna alama za lugha za wenyeji wa sehemu hii ya ukanda wa magharibi wa lugha za Kibantu.

Kwa kuwa Wabantu waliishi vijijini, walikuwa na nafasi kubwa ya kunufaika dhidi ya wenyeji wao ambao walikuwa wawindaji na waokotezaji chakuk. Kijiji kilikuwa ni kituo cha eneo zima

Afrika kuanzia käme ya Saba hadi ya kumi na moja

88

7.2 Msikiti wa Bin Tulun wa Kairo: sehemu ya mandhariya uga, mnara na hodhi la kulawadhia (Unesco/A. Bialil)

73 Msikiti wa Fatimi: nakshi ya usoni ya käme ya kumi na moja. (J. Dévisse)

Misri kuanzia utanvitnli wn Wnnmhu hniti mwithn wa dnla va Wafaiimi (1171)

95

Mibrikuanzia uramalaki wa Waarabu hadi.mwisho wa dolaya Wafatimi (1171) 7.5

97

Bab al-Nasr: mojawapo la longo

kwenye ukuta wa mji wa Fatimi. (Misikiti ya Kairo, na G. Wiet, uk. 8. Picha: Albert Shoucair; Hatimiliki.Hachette, Paris)

Misri, na baadaye walifanya mashambulizi manne zaidi, baaani yaKiwa m KutoKana na andha za

mawaziri wa Kairo, katika kipindi hadi 1169. Ni katika mwaka 1153 m ndipo Wafranki hao

walipokumbana na majeshi yaliyopelekwa na Nur al-Din chini ya uongozi wa Shirkuh na mpwa ' wake, Salah al-Din (Saladin wa tarihi za Ulaya). Kutokana na ahadi zilizovunjwa, mabadiliko ya

ghafla ya urafiki na hadaa aliyofanya waziri Ibn Sallar na Khalifa al-'Adid, mashambulizi hayo ya Waislamu hayakuambua lolote. Kwa hiyo, katika mwaka 1169 Shirkuh alishika mwenyewe wadhifa wa waziri wa Kifatimi. Punde tu baada ya hapo akafariki na kurithiwa na Salah al-Din. Hivyo waziri wa mwisho wa Kifatimi alikuwa jenerali wa Kissuni Mkurdi, kibaraka wa mwanamfalme wa Damasko, Mturuki wa Kisunni, Nur al-Din, ambaye jina lake lilitajwa katika dua

baada ya lile la Imam al-Adid. Imam huyo hakuweza kuvumilia hali hiyo, naye akamwagiza Jawhar, towashi mweusi, kumwua Salah al-Din. Aliposikia hayo Salah al-Din aliamrisha Jawhar aüliwe.

Walinzi weusi wa Kairo wakagoma. Kukatokea mapambano makali na al-Adid akawakana maaskari weusi ambao walikuwa wamejitolca maisha yao kwa ajili yake. Mlinzi huyo akauawa. Salah al-Din ambaye aliitumia ngano ya Ukhalifa wa Kifatimi katika mapambano yake ya mamlaka, alikataa

kuubatilisha Ufatimi, ijapokuwa Nur al-Din alimshawishi hivyo. Lakini, katika 1171, khxaba kwa niaba ya Khalifa wa Kiabbasi ilitolewa hadharani huko Kairo. Kwa hiyo, Uimamu wa Kifatimi huko

Misri ukamalizika bila ya kuwa na haja ya kumwondoa al-'Adid. Naye Al-'Adid alikufa kifo cha kawaida. Utawala uliodumu käme mbiü hatimaye ulitoweka pasi Wamisri kuonyesha jaziba ya aina yoyote.

Hitirrdsho

Katika 1 171 , zaidi ya karae tano baada ya kutekwa na Waarabu, Misri ilikuwa nchi tajiri kuliko zote

katika Mashariki. Vifmyange, vifaa vya kioo, nguo na vitu vya metali na mbao vilivyotoka katika karakana zao vilikuwa kamili pasi na mfano. Kilimo pia kiliendelea kuwa kama kilivyokuwa miaka

na miaka, papo hapo mazao mapya yaliyotoka Asia yakaingizwa katika kilimo hicho. Usanifu majenzi wa kidini na kijeshi ulidliihirisha sanamu za kupendeza; na karne zilizofuata zilionyesha mafanikio mengi katika kazi hizo. Fasihi katika Kiarabu asteaste ilikuwa inaendelea na papohapo

Nubia va Kikriito katika kilele

101

cha ustaarabu wake

al-Kasri»*!""" Dabo oASadli "M

laid J . . r^.r^t

Kalabsha«!

- JANGWA LA MAGHARIBI

Dakka^-Asabaguta MahaieakaÍHIÍi^TL ShaykhDawuri

Na9 aiOkbaJT

\

V

Toma¿ JSayala'-vj,

ar RamalX>-\y'as Sebu a ^

Debeyra W, i^p^« "

-'

Sítra E X TOislul I "labal Adda Aigm^Sahaba Ballana

Z"'dterect J.

"

..,.: i. .

8.3 Piclia ya Kyros, Askofu wa Faros (866-902): picha ya ukutani ya Kanisa Kuu la Faros (Hatimiliki ya, piclw: Kituo cha Utafiti wa Uchimbuzi cha Medilerania, Akademia ya sayansi ya Pologne, Warsaw)

110

Afrika kiiaiizia käme ya Saba hadi ya hi,vi na moja

8.4 Awamu ya pili ya maendeleo ya usanifu majengo wa makanisa ya Unubi. Juujengo lajadi la mkoa;kanisa la watawa la Ghazali na kanisa kwenye mteremko wa Kom, Faros. Katikati:

mwendeleo wa mtindo wa awamu ya ¡avanza, mfano wa mpango wa nafasi na sehemu ya kali (kanisa la minara ya mátale la Dongola ya Zamani) au mchoro wa wima (kanisa kuu, Kasr Ibrim). Chini: mfano wa mtindo mkuu, awamu ya pili, kaburi kuu la Dongola ya Zamani, kanisa la kimsalaba (P.M. Gankiewicz, 1982a)

Nubia ya Kikristo katika hiele cha uslaarabu wake

0

5

111

10 m

8.5 Kipindi cha tatú cita maendeleo ya usanifu majengo ya kanisa ya Unubi. Mifano kutóka makarúsa yatiyojuata mitindo mbalimbati. Juu: athari ya makuba ya basilika (basilika ya Tamil). Mslari wa pili:

athari ya mtindo wa kombe mamdufu (kanisa (ka/usa la Sonki Tino). Mslari wa tatú: athari Utilojengwa upya mwislioni mwa käme ya kumi, * wenye milúmili mingi (Kanisa la Mt. Raphael la

la Nag'el Okba) au ruwaza ya msalaba katika mraba ya ruwaza ya kuba na msalaba (kanisa kuu la Faros, na Kanisa la Malaika la Tamil). Chira: athari ya ukumbi Kaw). (P.M. Gartkiewicz, 1982a)

Nubia ya Kikristo katika kilele clia ustaarabu wiike

8.6 Mandhari ya kaskazini ya upande wa kanisa kuu la Faros na picha kubwa ya ukutani ya kuzalrwa kwa Kristo yenye rangi nyingi, iliyochorwa k. 1000. (Hatimiliki ya picha: Kituo cha utafiti wa uchimbuzi wa Mediterania, Akademia ya sayansi ya Pologne, Warsaw)

1 113

KtUMiL.i;iXi\:íi imu Afrika yu rúnhtz:iu na uktnnuU v\t¡ Auvcm 117

I :0 c

3

I

llhuru wa Maghrib

133

10.1 MandhariyajumlayaFez kukiwa na ukuta wa nje wa mji ambao ulijengwa upya mora

kadlia nafalme zilizofuatana. (M. el-Fasi)

10.2

Mnara wa msikiti wa

Karawiyi wa Fez. (Wizara ya Ulamaduni ya Moroko, Rabal)

wakati. Alikubali kuteuliwa kwenye ugavana kwa masharti kuwa asingeweza kuondolewa kitini na kuwa cheo hicho kingeweza kurithiwa. Badala yake alijitolea kukubali kutopata ruzuku ya dinari 100,000 zilizotengwa kwa Ifrikiya kutoka kwa kharaj huko Misri na yeye, kwa upande wake, kuchangia kwenye hazina ya Baghdad malipo ya mwaka ya dinari 40,000. Al-Rashid alikubali pendekezo hili na hivyo uhuru wa Ifrikiya ulipatikana kwa mapatano, bila mfarakano au kuachana na Baghdad.

Watawala wa mwanzo watatu wa nasabatawala hiyo mpya waliweka jitihada zao kwenye

135

Tffiuni vmi hínohrih

m.

10.3

Kuba

la

Baradiyi

la

Marakesh: urembo wa Una chini

ya kuba. (J. Dévisse)

10.4

uga wa ndani wa ribat ya Sus,

ukionyesha jengo

ghorofa mbili: kuba likiremba

mlango

la

dogo wenye

mnara (Taasisi ya taifa ya uchimbuzi na sanaa, Tunis)

alipokufa chini ya kuta za Kosenza (tarehe 23 Oktoba 902). Ieleweke kwamba matukio haya yaliuwezesha uamiri mdogo wa Kiislamu, ulioanzishwa na mamluki ambao mwanzoni walikuwa wakilipwa na wafalme wa Italia, kuwa na mizizi yake huko Bari kuanzia 847 hadi 871.

Migongano hii yenye ghasia isitufanye tufikiri kuwa hapakuwepo na mahusiano ya amani wakati

wa chuki hizo. Miaka hamsini ya migongano, ikiwemo na' safari za mashambulizi ya baharini kama ishirini hivi zilizoanzishwa kati ya mwaka 703 na 752, hasa dhidi ya Sisilia na Sardinia, ilifuatjwa na

miaka hamsini ya amani kamili Maghribi ya Mediterania (725-807), wakati ambapo mapatano ya

Afrika kiianzia käme ya Saba hadi ya kumi na nw/a

140

.;-;W '-wV-

'

f M

te

p

.,

I

10.5 Mlango na matao yaliyozibwa ya sura ya magharibi ya msikiti wa Kardoba. (flatimiliki ya picha: Hifadhi za Nyaraka za Werner Forman, London)

144

Afrika kuanzia käme ya Saba hadi ya kumi na moja

I

1

150

Afi ika kuanzia käme ya Saba liodi ya kumi ivi

Oasisi muhimu kuliko oasisi zote za mashariki mwa Sahara ya iliyojulikana kwa wanajiografia

Kaskazini ni ile ya Wargla,

wa Kiarabu wa enzi za kati kama Wardjlan au Warklan. Hatujui

chochóte juu ya asili ya Wargla kutokana na kukosekana taarifa kuhusu oasisi hii kabla ya utamalaki wa Waarabu. Hata hivyo, si jambo lisilowezekana kwamba katika kipindi cha himaya ya baadaye ya Ubizenti tayari kulikuwa na kijiji katika eneo hili kilichotumiwa kama kituo katika njia ya msafara

iliyounganisha Numidia na Hoggar na pengine pia kuruba ya mto Niger. Jiña ^Wargla' linapatikana katika mbari ya Kimoori ya Urceliani ambayo ilijenga makazi fulani Wargla katika kipindi kabla ya uvamizi wa Waarabu. Katika oasisi ya Wargla kulikuwepo pia miji kadhaa wakati walipofika Waarabu wa kwanza, ambayo magofu yake bado yanaonekana.

Wakazi wa Wargla mapema kabisa waüpokea imani za Kikhariji kupinga utawala dhalimu wa serikali iliyofuata imani za mapokeo. Waliongoka kuwa Waibadi, wafuasi wa tawi la mrengo

wa

kati wa madhehebu hayo na baadaye kidogo wakawa na uhusiano wa karibu na Maimamu wa Kiibadi wa Tahert.

Yaelekea Sadrata au Sedrata ndio ulikuwa mji mkuu wa oasisi ya Wargla kati ya karne ya kumi na karne ya kumi na

mbili. Jiña la jiji hili linatokana na jiña la Waberiberi wa

jingine lililokalia Mzab kandokando mwa

Sadrata, kundi

Biskra. Magofu ya Sadrata yako kilomita kumi na nne

kusini mwa jiji la Wargla. Katika magofu haya, kumepatikana mabaki ya msikiti na ya kaburi la Imamu Yakub ibn Aflah, Imamu wa mwisho wa Warustumi ambaye alikimbilia Wargla kufuatia kutekwa kwa Tahert na jeshi la Kifatimi mnamo mwaka 908.

Mnamo mwaka 934, jiji la Sadrata

lilizingirwa na jeshi la Kifatimi na wakazi wake wakatoroka na kukimbilia Karima (Gara Krima ya leo, kusini mwa Wargla).

Tuna taarifa kiasi juu ya makundi ya watu wa oasisi ya Wargla kati ya karne ya nane na karne

ya kumi na mbili. Wawarjlan walioianzisha, walikuwa tawi la Wazanata, lakini

miongoni mwa

wakazi wa mwanzo pia walikuwepo watu wa kundi la Wasadrata waliokuwa tawi la Walawata.

Afrika kuanzia käme ya Saba hadi ya kumi na moja

Afrika kuanzia käme ya Salm hadi ya kumi na mcja

162

,

12.2

etnJíéSf

Mandhari kutoka angani ya rasi ya Mahdiya (katika miaka ya 1970). (Picha imetolewa na

Ofisi ya Ardhi na Ramani, Tunis)

ni

Wamoravi

13- 1 Marakesh: uchbnbuzi wa kwanza wa Kasri ya Walmoravi. (J. Terrasse)

ingawa aliendelea kumtambua kama

mkubwa wake. Kwa sababu mbali mbah, Abu Bakr

hakutaka kuendelea kudai nafasi yake na kwa nia njema kabisa alimkabidhi madaraka Yusuf.

Kisha alirejea Sahara kabisa. Hata hivyo, aliendelea kutambuliwa kama nzima

ya Wamoravi mpaka alipofariki mwaka

1087.

mkuu wa himaya

Dinari za dhahabu za

Kimoravi

zilichapishwa mpaka wakati huo kwa jiña lake, na hata Yusuf b. Tashfin aliendelea kuonyesha utii kwake japo kwa jiña tu.

Utainalaki huko Kaskazini Katika miaka kati ya 1075 na 1083, jeshi la Wamoravi likiongozwa na Yusuf ibn Tashfin

kidogo kidogo liliiteka Moroko na sehemu za Maghribi za Algeria. Kwa kuiteka Sabta, jeshi la Kimoravi liliudhibiti MIangobahari wa Gibraltar na hii ikaiweka sehemu ya Hispania iliyosilimu machoni mwa mashujaa wa jangwani.

Huko Hispania kwenyewe si chini ya tawala uchwara ishirini zilichipuka kutokana na masalia ya utawala wa Makhalifa wa Kiumayya uüowahi kustawi.; Tawala hizi ndogo ndogo, ambazo kwa jumla ziüitwa muluk al tawaif (wafalme wa chama), kwa Kihispania reyes de taifas, hazikuweza kuzipinga juhudi kali za tawala za Kiukristo za Kaskazini za kuzitaka

kuzishinda nguvu. Baada ya Wakastiliana kuiteka Toledo (kwa Kiarabu, Tulaytula) katika mwaka 1085, hatari ya kumezwa kabisa dola zote za Kiislamu zilizokuwa katika peninsula ¡lianza kuonekana wazi, na ni msaada kutoka nje tu ndio ungeüweza kuwazuia Waukristo kusonga

mbele.

Nguvu

pekee

ambayo

ingekamilisha

kazi hii

ilikuwa

mikononi

mwa

Wamoravi. Kutokana na mwaliko wa mtawala wa Kiabbasid wa Seville, al-Mutamid, jeshi la

Wamoravi

13.2

179

Nakslú ya Walmoravi: kigongeo cha mlango cha shaba nyeusi (Fez). (UNESCO/Dominique Roger)

Wamoravi

Diasliara na njia ut biasliara

-; 14.1

katika Afrika Magfiribi

Eneo Uijangwa là kukasiia: romani inayoonyesha mistan ya mvua ya sosa. (U. Hugot, 1979.

V. Oodinho, 1956)

14.2 Njia za biashara zilizoelezwa na Um Hawkal. (J. Dévisse) Kb y r »van fe*

yP:Süail3: muyo; / imwezekam um' '

Maili 20 kuola Awlil untako f m^ 2: ¿j^. ^ imaa kiui Ni mweri 1 lafala Su^ñmia:/

Kuinü uïwi Ghana Taariû 11 «ahihi kabisa

km 30 kwa âiku

Biashara na njia za biasliara

katika Afrika Maghribi

195

298

Afrika kuanzia karne ya Saba hodi ya kumi na inc-ja

(¡MKS, Nouakchott)

= .»

,~

_">

s

ra

katika Afrika Maghribi

5 ->

'*

>

ro

C

> s

0)

£

(0



E

=

g O

'& -

3 O

£

?

;s

-2

«

no)

.c ~

\

\

c

wan -Rahr

to

ro

zinao sipok

jw

^

«

\

»

»

i

» .s

»'



^

O

MO

c.-° C

o

o

o

. ¿-

*

* .^^CZaTTl

m i

o

C

ȣ

s -o

3 _

s

Ü ro (fl

-h:

.E si .5

ir

o

ro

«m

£

c

jr -

>

2

5

> Sc 1

O

uwa mwa r :

ro

1

>

\

V

*

| \

-I

\

==5=a====0,==re=»=0=0C''^ -1.1 £

á

\-raËEcEC

ro

£ I

3km "^

ilbiaylo Aabd

11

i

emista asafri

3

ku=rib naj ribu ayel zo haen o

>.

5

«

Xs

>

V

--

...

isi ro

i

V

v

40

>.

1 Si

\ \

£

V

\

\

iff

S

Biasliara na njia za biashara

van 5 A

Sei

i

"= E ' * 1

! asi~

V ¡' - 1 «

,
engine hakukuleta mabadiliko yoyote makubwa katika utamaduni au namna ya maisha ya vatu wa Kaskazini au kusini hadi ilipofika karae ya kumi na mbili. Mambo hayo yote hayakuwa chanzo cha uhamisho mkubwa wa teknolojia ya msingi- k.m. cuhusiana na metali - ama kwa sababu uhamisho huo ulikwisha- tokea mapema zaidi au kwa

;ababu sehemu za kusini kwa muda mrefu zilikwishaunda mbinu zake zenyewe za kuzalisha netali. Kuhusu shaba, ambayo ilikuwa imekwishazalishwa huko

kusini mwa Sahara kwa

.valau miaka 1000, wakati njia za kuunganisha maeneo ya Sahara zilipopanuka, tunajua sasa cwamba mbinu za kukalibu metaU, - kutengeneza shaba nyeupe zilizomiminwa risasi na za culehemu risasi - zilianzishwa kusini mwa jangwa kati ya karne ya sita na karne ya nane. Hata hivyo, katika nyanja tatu, uhamisho (wa teknolojia) - na siyo tu kutoka Kaskazini cwenda kusini - pcngine ulikuwa na athari kubwa na ya *kudumu.'

Makala maarufu ya J. Schacht, yaliyoandikwa zamani kabisa yalionycsha, kuhusiana na

Vkanda wa Cliad kama njia

panda

217 _^*~

^njtiMia

i ^**^

15. 1

y,,» yyg simba mes¡ kl{toka kwenye madvmbo ya ¡loulou) (Kaikazim va Camero»» (A. Holt)

Kati ya vikundi hivi, Wahausa tu ndio wameanzisha msukumo mpya, ambao matokeo yake ni juhudi za kueneza upya lugha yao.

Familia kuu ya pili ya lugha katika kanda ya Chad ni familia ya Kinilo-Sahara. Lugha ya upande wa Maghribi kabisa katika kikundi hiki ni Kisonghay, ambacho kinazungumzwa kote

kandokando ya Mto Niger, toka Jenne hadi Gaya. Kikundi cha pili cha familia ya lugha ya Kinilo-Sahara ni cha lugha za Sahara, yaani (Kizaghawa, Kiteda-Daza na Kikanembu-Kanuri). Leo hii, mawasiliano yote baina ya lugha za Sahara na Kisonghay yamekoma; lakini, maumbo mengi ya kileksikografia yaliyomo katika makundi yote mawíli ya lugha yanadokeza kuwa wafugaji wa Kisudan (na penginc wakulima pia) waliozungumza lugha za Kinilo-Sahara walikalia sehemu kubwa ya jimbo kati ya Kuruba kuu ya Mto Niger na milima ya Ennedi.

Mwendelezo wa kijiografia wa utaratibu huu wa makazi lazima ulivurugwa na athari ya mchanganyiko wa kukauka kwa Sahara na kusonga mbele kwa Waberiberi wa Kilibya katika karne za mwisho kabla ya enzi ya Kristo. Kwa upande wa mashariki, watu waliozungumza lugha ya mame-Songhay walianzisha lugha ya Kikaw-kaw (Gao), wakati katika kanda wa Ziwa Chad wasemaji wa lugha ya mame-Sahara walitawala Kanem.

Ufalme wa Wazaghawa Kutajwa kwa mará ya kwanza kwa Kanem katika vyanzo vya maandishi kunafanywa katika , m'atini ya al-Yakubi mnamo mwaka 872. Mwishoni mwa karne ya kumi, al-Muhallabi

Vkanda wa Guinea: haliyajumla 225

232 '

Afiika kuanzia karne ya Saba hadi ya kumi na moja 16.2

MutlumhK v« iKhti-Ukmi

Tmneyti Trnfn \n Mmubn yu Knie im Mtikiimbmhn, Lasos)

Saiiaiiiu mingo yn kiilimi i liciive ¡elm vu .s/híiu mvi/w

Vknnda wa Guinea: halt va ¡umla

Unkiili In shaba la dual a (mein mi si" 20)

Bakuh In shaba hkiwu wnnti (until sma 27 .1)

233

m. Afriin ínnroia karne ya Saba hadi ya kumi na moja

Jkanda wa Guinea warn waishio kali ya Mlima Kameruni na Cole d'ivoire

241

i -a

¿5b

.242 Afiika kuanzia karne ya Saba hadi ya kumi na moja

Afrika kuanzia karne ya Saba hadi ya kumi na moja

246

17.4

Kithwa dm Terrai otia knlokii kwenve nimli. labila wa nuilkia. ii'uh hanbuliwa huko Im Yemoo. He tlieln

23.1 cm. (Photo: copyright trank Wilktt)

Ukaiidawa Guinea warn waishio kali ya Mlima Kameruni na Cote d'ivoire

17.5

Kit limi (ha Tenariiiia kiln liukiilwa pviuuchi mwa bauibara ya llrvcna. IJe Urcjn 22 5 sm

Frank Willelt)

241

Afrika kuanzia karne ya Saba hadi ya kumi na moja

7S0

.

m

17.6 Macliimbo ya Igbo-Ukuvu. Chiingu chenye kamba :a Shaba nyeiisi na kisliikio (hake (nyunia na kushoto) kwenye Ghala la mavazi rasnu (vipimo: fun 1 iircfii). £ Chombo ¡ha Chunga kiliclwpamhwa sana kutoka kwenve niaslunio ya Igbo-Ukuvu (urefii: sm 40 6).

Watu wa Guinea yajuu: kati ya Cote d' I vore na Kasmanst 257

93

-J

00

260

18.2

Afrika kuanzia karne ya Saba hadi ya kumi na moja

Uhamai't wa uladi ya warn eneo la Guinea ya Jim (Il W Aiulalt)

Pembe ya Afrika

19.1

Pembe ya Afrika. (I. Ilrbek)

269-

Pembe ya Afrika

19.2

271

Sarafit ya Mfalme Armah, karne ya saba ya enzi ya Kikristo. (Wizara ya Utamaduni,

Ethiopia)

19.3 Kilabu cha Injili clia Abba-Guerima kikionyesha picha ya Ml. Mark (käme ya kumi na moja). (Wizara ya Utamaduni, Ethiopia)

mm®,

»Vf H? if Wit .fc-yf"4.

if»1* njM* ?,r,xa /w

Afrika kuanzia käme ya Saba hadi ya kumi na mo/a

284

21.1

Machimbo va Manila

21.2

Msikin_wa Shrazi ya Kate wa Domoni Animan. Visiwci vya Comoro (käme va kumi na moja)

(H. T. Wright, P. Vérin) Ir T

DDD IDGLZODDlII

J

1

f*

Afrika kuanzia karne ya Saba hadi ya kumi na moja

296

IRINGA

at>

'

mcikabila

5

Waasu wa awali

Makisio va mwelcKca, wa u/i.mukaji ¿ Warango wa uwaii wa muk(,l;iu; wakati wa upnuli dm ? Wawa\vusa wa awuli kaineya 7-9

8

Nionibe va awali

Wakutanyaji Kiklioisa

PGK Wagusil - Wukurici (Mai a) wa asdi PI.G Walina - Wugii\u wa ¡mil

1

Wakushiti wa iiwanda wa kmini

3

Wakushiti wa Nyanza kusim

PTC Walaita - Win haga wa asili

4

Wakushiti wa Bonde la kusini

PTH Wathaguu wa awali

Angaha.

Luha ya nifanano wa kcinbu wa inapna Wamaa m Wukushui

wa kusini tofauti na Wamaa ambao wahziin^uinza luv.hu yt Kimloli dm Maghari'n

22.1

Jumii Knu za Ajrika mashanki kua.tzia karne yj ¡aha kadi va lisa (C Ehret)

Afrika ya Kati Hadi

kaskazini ya Mio Zambezi

Tamadimi za kiakinlojia Afrika mashariki na kusini

(*-' "

' hillipson)

308

Afrika kimmia käme va Sal>a hadi ya kumi na mojo

23.2 Kaburi kutoka kwenye ktptndi cha Kisaliam (karne ya kumi hadi va kumi na nne), eneo In Sanga

'. (P. de Morel, Makiimbu\lio ya Kifalme ya Afrika va Kati) 23.3 Vyiingu na bangili zu pembe za ndovu kutoka Sanga

Kusini mwa Afrika Iladi

Jll

kusini va mío Zambezi

400

.__

600 km

Mipaka ya sasa 400

SAHARI VA-

-HINDI

24. 1

Makabila na uhama/i kusini mwa Afrika kati ya 950 na 1000.

(T. N. Huffman)

318

24.2

Afrika kuanzia karne ya Saba hadi ya kumuiamoji